Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Niliwahi sema kuwa The Sopranos ndiyo series kali ya muda wote, nilikuwa sijaangalia The Wire. Hakuna series kali kama hii. Ni kama unaangalia maisha halisi ya watu. Hii series hadi vyuoni inafundishwa.