Hakuna series kali kama The Wire

Aise nyie acheni utani kuna watu wana akili kubwa ya kutengeneza ingawa breaking bad hana mpinzani
lakini ukitaka kunielewa kacheki Zerozerozero!
 
The wire niliicheki 2009, kwa enzi hizo ilikuwa top kwenye series za drugs and gangs.

kipindi hicho hakukuwa na uwekezaji wa kutosha kwenye series za gangs na drugs, kwa sasa uwanja umebadilika kabisa.

series zangu kali za gangs na drugs, ikiwemo the wire

  1. Narcos
  2. Snowfall
  3. Breaking Bad
  4. Power
  5. The wire
  6. Gomorrah
  7. Godfather of Harlem
  8. Top boy

nyingine hizi hapa ila sikuzipenda

  1. Sopranos - iliniboa kuna kipindi inazungumzia zaidi mambo ya kifamilia
  2. Queen of the south - wamefanya biashara ya madawa ionekane ni nyepesi na yenye huruma
  3. Black Mafia family - inawafaa Teenagers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…