Hakuna sheria inayotamka kuwa Katiba Mpya mpaka iwe kwenye ilani ya CCM

Hakuna sheria inayotamka kuwa Katiba Mpya mpaka iwe kwenye ilani ya CCM

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,085
Reaction score
4,890
Tuache kutoa Vijisababu visivyo na Tija kwa Taifa kwenye Mambo ya Msingi kwa TAIFA.

Suala la KATIBA MPYA ni Suala la Wananchi bila kujali ITIKADI yao KATIBA ni MALI ya WANANCHI na Sio CHAMA CHOCHOTE.

KATIBA iliyopo ni ya Chama kimoja kutokana na Utungwaji wake Uliofanywa na Kikundi cha Makada wa CCM .

Matokeo ya KATIBA hiyo ndio haya MATATIZO Wananchi Wanayapata.Wakati Umefika wa KUANDAA KATIBA MPYA bila ILANI ya CHAMA chochote cha SIASA.

Hata rais mstaafu Jakaya Kikwete aliamua kwa Kuanzisha mchakato wa katiba mpya bila ilani ya chama chake Kwanini leo tuambiwe Lazima uwe kwenye ILANI ya CCM?
 
Back
Top Bottom