Hakuna sheria kwa Raisi kulivunja Bunge la Katiba, Je ipo ya Kumkataza?

Hakuna sheria kwa Raisi kulivunja Bunge la Katiba, Je ipo ya Kumkataza?

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Nilisema katika comments flani hapa JF kuwa Mh.Kikwete hafai kuwa Raisi kama hawezi kulivunja Bunge ,wanasema hana ubavu au hakuna kifungu kinachomruhusu na kumuwezesha kulivunja Bunge la Katiba ,Cha kujiuliza Je kipo kifungu kinachomkataza kulivunja Bunge hili la Katiba ,ukiweka akilini kuwa yeye ndie alietoa ruhusa ?

In English we can say there was no law barring the President from stopping Bunge La Katiba.

Haya Mkuu Kikwete wajibika kulivunja Bunge maana hela inateketea ,yule Mwanasheria Mukuu alikutega tu na wewe ukavamia.
 
Back
Top Bottom