saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Hivi kama shirika ambalo liko chini ya naibu waziri mkuu iko hivi nani ataogopwa nchi hiii. Nilitaka kulipia kuunganishiwa umeme, nikajisajili, kufanyiwa survey na mwishowe nikatumiwa control namba kwa ajili ya kulipia km Tsh 697,000/=, wiki ya 3 sasa nimeshindwa kulipia, nilituma hela kutumia simu yangu kutumia AirtelMoney hela ikahang tu haiendi popote mpk nikaenda kuomba kurudishiwa.
Nimeenda kwa mawakala wamekataa wanasema inasumbua hakuna msg inarudishwa kwao km uthibitisho wa malipo. Ofisini kwao hawapokei malipo, Waziri wa nishati utuambie tutumie njia ipi.
Ingawa wasiwasi wangu ni kuwa Dotto Biteko hafuatilii malalamiko ya wananchi kupitia mitandao ya jamii. Waziri pekee anayefuatilia matatizo na kuyatatua kwa Wakati ni Dorothy Gwajima, yule mama hana makuu yuko na wananchi.