Naona povu limemtoka kweli [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukifahamu kwamba Shida zako zinatokana na huo mjina ulojipachika basi utapona. Unashindwa kufahamu kwamba huu ni Utani? Ni lini wabongo mtaacha kujifanya walimu wa mambo ilhali umasikini umewatawala hata katika kope zenu???????
Lakn kumbuka nawewe kuna watu wanatamani wawe kama weweHakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili hapo Ndo utajua kwann gunia na dunia vinatofautiana neno moja
GUNIA, DUNIA, tofauti ni herufi 1 na sio neno moja!Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili hapo Ndo utajua kwann gunia na dunia vinatofautiana neno moja