Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Sehemu kubwa ya size ya mwili wako ni matokeo ya maisha unayoishi, vinywaji na vyakula unavyokula. Hapa mjini vyakula vyenye afya mwilini ni bei rahisi kuliko vyakula vinavyoharibu mwili.
Mboga za majani, matunda, maji ya kunywa unga utokanao na nafaka zisizokobolewa, na vingine vingi sana hupatikana kwa bei nafuu sana hapa mjini ukikinganisha na vingine.
Pamoja na vyakula na vinywaji mazoezi ya viuongo ni muhimu sana kwa afya. Na haya sio lazima ya gym. Hata kutembea kwa miguu au kukumbia au kuendesha baiskeli ni mazoezi tosha kabisa kwako. Jaribu hayo na ujenge mazoea ya Kila siku (consistency) utaanza kuona mabadiliko na kushangaa.
Hakuna Siri wala uchawi. Badilisha mlo wako, fanya mazoezi, na ufanye hii kuwa tabia yako ya Kila siku. Also jaribu sana Kula mapema chakula cha jioni na kulala mapema. Utashangaa, you’ll shock people.