Prince mimi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 814
- 2,422
Jamaa lijinga sana,ana lengo la kuwachafua UTT..Siitetei serikali ila hapa unawaonea,
Hakuna watu wamenyooka kama UTT, π Ni wew na bangi zako, labda kama unataka kujaribu kuona reaction za watu ila kama ni kweli bas wew ndo shida
Ungenipigia simuHuduma za serekali ya malawi ndivyo zilivyo.....
Nshawahi kwenda TRA nasubiria mumama amalize kuongea na simu ndio anihudumie, ile simu aliongea muda anauliza enhee kajifungua mtoto gani, lini....waooh kajifungua kawaida, hadi alimaliza ndio akanisikilizaπ
Mahofcn π dahTaasisi nyingi za serikali customer care ni zero !!!!! Mahospitali, mahofcn n.k
Typing Error! Sikuona wewe ndio umenisanuaMahofcn π dah
Siitetei serikali ila hapa unawaonea,
Hakuna watu wamenyooka kama UTT, π Ni wew na bangi zako, labda kama unataka kujaribu kuona reaction za watu ila kama ni kweli bas wew ndo shida
Mbona UTT hawana longolongo labda longolongo uwaletee wewe.. Mimi Nina mwaka nimejiunga UTT nawekeza na natoka hela na wala sijui hata ofisi yao moja zaidi ya kumaliza mambo yote online
Sema unataka kutunza pesa,hakuna uwekezaji hapo.hello nyie mmewekeza kwenye mfuko gani hapo UTT, nataka kuwekeza pesa ambayo nitakuja kuitoa baada ya miaka mi3 kutoka sasa.
Ni kweli maana nyie wananchi ham chukua hatua yoyote kuwajibisha viongozi,watumishi wenyewe wanalipwa mishahara laki 5 unategemea nini??Taasisi nyingi za serikali customer care ni zero !!!!! Mahospitali, maofcn n.k