KERO Hakuna Taasisi yenye huduma mbovu kwa wateja kama UTT AMIS

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Tasisis ambayo maskini wanakimbilia ulitaka iweje?
 
Siitetei serikali ila hapa unawaonea,
Hakuna watu wamenyooka kama UTT, 😂 Ni wew na bangi zako, labda kama unataka kujaribu kuona reaction za watu ila kama ni kweli bas wew ndo shida
Hahaha
 
Sasa mkuu wiki tu ndio unalia? Mnawezeka bila hataba ya kula?
 
Hata mimi nimeweka za mwanangu na huduma ni nzuri sana,labda kama ulikutana na mtumishi aliye kuwa na mapungufu yake binafsi na sio Taasisi.
 
Hili nimelithibitisha...UTT customer care yao mbovu sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…