Hakuna taifa la kuingusha Marekani katika dunia hii, Marekani itajiangusha yenyewe

Ukiangalia china kwa jicho zuri
China siyo mtu mzuri siku za usoni

Unachoweza kufanya fahamu kwamba china anaweza kiteknolojia
Utajiri wa watu wenye ujuzi
Na jeshi kubwa zaidi duniani
Andaa uzi mwingine wenye sifa za china alafu watu waone kwamba wapi ni wapi
China huwa wanaficha data hawasemi ukweli
 
Masrahi ❌
Maslahi✅
 
Hapo unakosea, masuala ya Siasa Diplomasia, Kijeshi na Mahusiano ya kimataifa hayahusiani kabisa na hisia binafsi.
Kinachoangaliwa ni matokeo, ukileta hisia ni lazima ukosee kuchambua kama ulivyosema Uchina 🇨🇳 ndani ya miaka 8 itaipiku Marekani 🇺🇸, hizi ni hisia.

Ukitazama Data utagundua Uchina 🇨🇳 wanahitaji muda mwingi zaidi kutimiza azma hiyo.
 
Anyway, Mimi hayo mambo mengine siyajui
Ninachojua ni kwamba kwenye technology China na Marekani wanachuana vikali
 
Mwandishi ana MAHABA na marekani.vita ya pili ya dunia marekani alishiriki tu,lkn hakuwa front line,vita ya Korea marekani hakushinda,vita ya Vietnam hakushinda,hata somalia marekani alifharirishwa,mwandishi sio tu ni mwongo,ila anamahaba na marekani.
 
Kwa kuwa ndilo taifa linalojinasibisha na ushetani na kudhihirisha nguvu ya shetani hapa duniani, ikiwamo kupromote mambo yaliyo kinyume na Mungu kama ushoga na kuyawekea vikwazo mataifa yanayokinzana naye.

Biblia iliweka wazi kuwa bila alama (idhini) yake, hutauza wala kununua.

Kwetu waislam huyu tunamtambua kama masih dajjal, jitu la fitna.
 
Wamarekani wanaufanya na wanautangaza. Waarabu wanaufanya kisirisiri ila hawatangazi. Wote ni walewale tu
 
Wamarekani wanaufanya na wanautangaza. Waarabu wanaufanya kisirisiri ila hawatangazi. Wote ni walewale tu
Siamini kama waarabu wanao ubavu kuliwekea taifa lolote vikwazo kama anavyofanya huyo shetani.

Kajifanya kama ndiye mmiliki wa dunia.
 
Wamarekani wanaufanya na wanautangaza. Waarabu wanaufanya kisirisiri ila hawatangazi. Wote ni walewale tu
Kimbunga kimeua zaidi ya watu 20 Mississippi, umesikia? California nako kiliwapitia siku chache zilizopita.

God is punishing them in ways they can't contain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…