Hakuna Tanzania bara Kuna Tanganyika.

Hakuna Tanzania bara Kuna Tanganyika.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Ziliungana Zanzibar na Tanganyika sio Zanzibar na Tanzania bara. Tanganyika tunakwama wapi?

Sio sawa kuita Tanganyika kwa jina la Tanzania bara kwasababu hata Tanganyika Kuna visiwa vingi pia kama vile Mafia, Mbuja, ukerewe, nk.

Tanganyika inahitaji kuombewa ili ijitambue.
 
Sawa sawa
Wa Zanzibar wako sahihi nadhani, Kuna Zanzibar, Tanganyika na Tanzania. Mwl Nyerere nadhani alikuwa na agenda yake kuliua jina la Tanganyika. Agenda ambayo imefeli.
 
Back
Top Bottom