Hakuna tena haja ya kutengeneza vyakula vya mifugo usovyojua matokeo yake kwenye ulishaji,mchawi computer,cha msingi unapaswa kujua ingredients zinazotakiwa kwenye utengenezaji wa vyakula vya mifugo,pia ujue viwango vya viini lishen
Vya ingridient mojamoja kama Fats(lipids),vitamin,protein,DM,Fiber, energ
y,sodium na vingine,pia unapaswa kujua nutrients requirements za aina ya mfugo na umri wa mnyama unayemtengenezea chakula.Mfano broiler,dual purpose au layer au pengine nin samaki au nguruwe.Baada ya hapo ndio ucheze na software
Video imegoma upload