Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Kiongozi hizi huduma za Surgery na Lens approximately zina cost around ngapi?Acha uongo ww mm ni mtaalam wa macho toka kcmc ...macho hayawez ingia ndan kwkutumia miwan ni iman yako tuu ...pia njia zingine huwez gharamia kama refractive surgery...au kuvaa contact lenss...ndo mana best option ni miwan......ingekua inapelekea kuzamisha watu macho ....wale wanaovaaa tangu watoto c wangekua vipofu
pengine hakumaanisha kwamba miwani ndo sababu ya macho kurudi ndani.
yeye kasema ametumia miwani for 2 yrs tatizo linazidi na macho yanmeanza kuingia ndani. Je hakuna tiba nyingine zaidi ya miwani?
au mm ndo sikumwelewa vzuri.
Ndugu maumivu ya kichwa mbele ya macho nn tiba yake maana kichwa kinauma hadi misuli ya shingo inaniuma kwa kweli ,nimekunywa pain killer wapi malaria hakuna wala typhoid hakuna .Acha uongo ww mm ni mtaalam wa macho toka kcmc ...macho hayawez ingia ndan kwkutumia miwan ni iman yako tuu ...pia njia zingine huwez gharamia kama refractive surgery...au kuvaa contact lenss...ndo mana best option ni miwan......ingekua inapelekea kuzamisha watu macho ....wale wanaovaaa tangu watoto c wangekua vipofu