Hakuna timu ambayo ina uwezo wa kuleta kombe la Africa Tanzania zaidi ya Yanga

Ni mihogo inakusukuma kuandika haya?
 
Yang
Shida ni kwamba huko Africa akina Aragija wa kuhongwa hawapo.
 
 
dahh kuna watu nyie mna moyo sana,sema big mwanangu kwa kutupa matumaini wala mihogo wenzio hata mm naona kabia siku yanga ikitoboa kwenda makundi wale wazee warobo fainali wataisoma namba
 
Hao wala mihogo hata hiyo dalili ya harufu ya kulikutia kombe hawajawahi kuipata. Simba walishawahi fika nusu fainali klabu bingwa Afrika 1974 kama sikosei, walmeshafika fainali ya kombe la CAF 1993, na nina uhakika siku ikifika tena fainali kwa miaka hii, ndoo inakuja Bongo. Nyinyi endelezeni siasa zenu na kuvimbiwa mihogo kama mlivyoambiwa na mfalme wenu! Ila kimataifa mtaendelea kumbwela milele.
 
Sisi hapa Nyumbani Yanga hatuwawezi wameanza kutufunga tangu ligi Ina anzishwa 1965 kwasasa tunajivunia kombe letu la kufika group stage [emoji1][emoji1][emoji1]
Umeamia huku baada ya kuona kanteam Kako kadogo kanatolewa hovyo hovyo ,beba hii itakisaidia msimu ujao unapelekwa Kwa warabu raundi ya kwanza wanakupasua mbaki was mchangani mpaka akili zenu zikae sawa
 
Am hakika bila kutolewa huo mwiko akili zenu haziwez kukaa sawa
 
Hiyo mihogo umekula leo ni ya kuchemsha au ya kukaanga??[emoji23]
 
Mtoa mada tayari ashashiba mihogo anakuja kutema mihogo hapa.
 
Wana mkia fc hawaamini Ndio maana wanatuombea mabaya Lila mechi tuchezayo,Ila wanasahau tunarekidi ya ubingwa mwingi na unbeaten🤸🤸🤸
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hakii hii akili ya mihogo ya kuchemsha kabisa
 
Nasubiria huu uzi utaishia wapi, je itakuwa ndio msimu huu au mbeleni? Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…