Bado unampuuza?wewe ni wa kupuuza tu
Ohoo angalia akili ya mihogo ya kuchemsha inaweza kukucheka baadae mkuuHakii hii akili ya mihogo ya kuchemsha kabisa
Vipi mpaka hapa timu ilipofikia kuna bahasha?Unafikiri kule kuna cha kupenyeza bahasha, naona utakuwa ushaona tu kwa hizi mechi za karibuni za kimataifa jinsi mihogo fc ambavyo mechi za kimataifa wanavyofanywa
Hawezi kukujibu. Amelala na viatuVipi mpaka hapa timu ilipofikia kuna bahasha?
Unaongelea wakati gani na umequote hii comment ya wakati gani!?Vipi mpaka hapa timu ilipofikia kuna bahasha?
Domokaya vp una endelea aje hapo ulipoUnafikiri kule kuna cha kupenyeza bahasha, naona utakuwa ushaona tu kwa hizi mechi za karibuni za kimataifa jinsi mihogo fc ambavyo mechi za kimataifa wanavyofanywa
Naongelea wakati ambao wewe umejigeuza kuwa mtabiri.Unaongelea wakati gani na umequote hii comment ya wakati gani!?
Naendelea vizuri vipi weweDomokaya vp una endelea aje hapo ulipo
Mbona hukuongea kipindi hicho mpaka umekuja kufufua uzi kwanza au ulikuwa huna nguvuNaongelea wakati ambao wewe umejigeuza kuwa mtabiri.