Hakuna timu ambayo inanivutia sana Tanzania kama Ruvu Shooting

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Mimi shabiki wa Yanga damu damu kabisa ila hii timu ya ruvu shooting ndo timu ambayo inanivutia zaidi na pendaga jinsi lilivyo jina lao tu naonaga limekaa kibingwa bingwa hivi tatizo uwezo tu ila na amini timu hii ingelikuwa na udhamini mzuri kama simba na yanga na fikiri kwasasa wangelikuwa mbali saana

Ila kwa ufupi kinacho ni vutia zaidi ni jina lao ruvu shooting.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…