kama cafcc ni kombe la kina mama maana yake kibu na ateba watacheza na mama ako si ndio? na yeye si mmama?Losers Cup aka Kombe la Wamama mtapigwa kama ngoma.
Umewaweza hao.
Unabishana na Kiongozi wako Kaduguda?kama cafcc ni kombe la kina mama maana yake kibu na ateba watacheza na mama ako si ndio? na yeye si mmama?
Uzuri Mlilicheza na mkanengua na kuikatikia medali kwa furaha.Sema kombe la akina mama
Acha kuficha maneno
Wakumbushe hata pointi wanazoringia walipata kwenye hayo mashindanoMsimu mlio cheza fainali ya hilo kombe mlikua kina mama?
Afadhali sisi tunabishana na viongozi wetu nyie ndio maana Mzee Magoma aliwaita mazezeta maana Kila mnachoambiwa na viongozi wenu mnafuata hata Kama sio sahihi.Unabishana na Kiongozi wako Kaduguda?
Mbona hamkubishana na Alhaj Rage alipowaita mbumbumbuAfadhali sisi tunabishana na viongozi wetu nyie ndio maana Mzee Magoma aliwaita mazezeta maana Kila mnachoambiwa na viongozi wenu mnafuata hata Kama sio sahihi.