Hakuna timu iliyowahi kushinda Mikwaju ya Penati baada ya kubadilisha golikipa dk za mwisho

Mkuu mbona unasema statement ambazo common sense tu inasema haziwezekaniki

Yaani katika database ya mamilioni ya michezo hakuna timu ilishawahi kubadilisha kipa dakika za mwisho na kushinda mikwaju ya penati ?

I will go one over sio tu kubadilisha bali kipa kupewa red na timu ishafanya sub zote na hawana kipa wa ziada hivyo mchezaji wa ndani kuamia golini na bado ikashinda mikwaju
 
Huyu kwenye futbol ni wa kusamehewa[emoji1787] Hii ni mara ya tatu naongea [emoji188][emoji188]
 
Mkuu mbona unasema statement ambazo common sense tu inasema haziwezekaniki

Yaani katika database ya mamilioni ya michezo hakuna timu ilishawahi kubadilisha kipa dakika za mwisho na kushinda mikwaju ya penati ?

I will go one over sio tu kubadilisha bali kipa kupewa red na timu ishafanya sub zote na hawana kipa wa ziada hivyo mchezaji wa ndani kuamia golini na bado ikashinda mikwaju
Siyo kubadilisha kwa kuumia , yanga wamemtoa Mshery wamemuingiza mdaka penati
 
kwanini yalifanyika mabadiliko ? hoja yangu iko hapo
Yalikuwa mabadiliko late ili aingie Kepa kudaka penati hakuna sababu nyingine, Mendy hakuwa ameumia. Na kocha alirudia hiyo game plan dhidi ya Barnsley....Kepa ndio mdaka penati wa Chelsea, kuna hoja nyingine ? 🐒
IMG_20220110_185619.jpg
IMG_20220110_185602.jpg
 
African Champions League final between Enyimba FC of Nigeria and Tunisian side Etoile Sahel went to penalties after the two-legged tie finished 3-3, the former opted to switch keepers.

Off came Vincent Enyeama, with penalty specialist Dele Aiyenugba taking his place. Aiyenugba duly saved Ben Frej's effort as Enyimba prevailed 5-3 and retained their crown. Incredibly, Enyimba had done exactly the same thing in the semi-finals against another Tunisian side, Esperance, where Aiyenugba saved two penalties and saw two others missed.

Aisee mnamuua sasa🤣
 
kwanini yalifanyika mabadiliko ? hoja yangu iko hapo

Ndiyo.
Dakika za mwisho kabisa alitoka Edou Mendy ambaye nafasi yake ilichukuliwa na Kepa Arizabalaga.

Kepa aliokoa penati zilizopelekea Chelsea kushinda taji.
 
Back
Top Bottom