CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Wewe ndio umepotea kabisa, usichanganye Vita ya DRC na Vital'O ya Burundi. Hiyo inaitwa AS Vita Club, au kwa kirefu Association Sportive Vita ClubNi AS VITAL na si AS VITA.
Na wewe umebugi!
Halafu hilo ni jambo la kuanzishia uzi kweli?
Ahsante mkuu,maana huyo jamaa naye ni walewale wa form four ya 2012.Wewe ndio umepotea kabisa, usichanganye Vita ya DRC na Vital'O ya Burundi. Hiyo inaitwa AS Vita Club, au kwa kirefu Association Sportive Vita Club
OkWewe ndio umepotea kabisa, usichanganye Vita ya DRC na Vital'O ya Burundi. Hiyo inaitwa AS Vita Club, au kwa kirefu Association Sportive Vita Club
Hivyo ni vitu viwili tofauti,km kama kuna makundi 3 yenye timu 4 kila kundi na zinatakiwa zifuzu timu 8 tutachukuwa washindi 3 kila kundi runners up 3 kila kundi na over all best losers 2 kati ya hayo makundi 3 tunapata jumla ya timu 8Na pia huwa hakuna kitu kinachoitwa 'best losers', ila waandishi wa kibongo dizaini ya Kitenge sijui wameleta tafsiri ya moja kwa moja ya kiswahili ndio likawa linatamkwa kimakosa. Kimataifa, nafasi hiyo huitwa runners-up
Unaifahamu tofauti ya C na S?Nafikir ni mazoea ya kimatamshi
Tusiwashushe vyeo kwa hilo
Hapana, best loser ipo.Na pia huwa hakuna kitu kinachoitwa 'best losers', ila waandishi wa kibongo dizaini ya Kitenge sijui wameleta tafsiri ya moja kwa moja ya kiswahili ndio likawa linatamkwa kimakosa. Kimataifa, nafasi hiyo huitwa runners-up
Jane nimekuelewa mamaa!!Hapana, best loser ipo.
Hii inaapply pale ambapo mathalani kuna makundi 5 ya timu nne kila kundi lakini mnahitaji timu 12 kufuzu next round. What happens ni kwamba zitachukuliwa timu 2 zilizofanya vizuri kila kundi kupata jumla ya timu 10 and then kukamilisha timu 12, hapo zitachaguliwa timu 2 bora kati ya walioshindwa wale waliopata nafasi ya tatu kila kundi. So, ni best losers among washindi wote watano walioshika namba 3.
Kuhusu runner-up, hilo ni neno linalowakilisha mshindi namba mbili katika aina yoyote ile ya mashindano.
Nadhani nimekusaidia kwa kiasi flani kukuelewesha.