Sio vilaza but Liverpool walikuwa katika ubora wao leo....Siwezi kuwalaumu Barça kwa kufungwa 4-0 wala siwezi kuwalaumu Liver kwa kufungwa 3-0 mwanzo...Football ni mchezo wa Matokeo ya ajabu sana.Wamekuwa Vilazaa sanaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Still mess bado ana qualify kwa balon for,I'm Liverpool fan but mess is mile away kumzidi salah- had I hapo barca ilipofika ni sababu ya messiSalah balon dor
Ni VVDSalah balon dor
Yani ile come back ya PSG nilidhani walibebwa ilaa kilichotokea leoo Nimeamini Barcelona ni timu ya Ovyooo sanaaa na Messi is Over rated...!! Yani Serious UEFA huwa mnatolewa kiboyaa sanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hongera Liverpool
Huyo messi kaisaidia vp barca ingawa kachezaKaisaidia vp liver na Leo hajacheza
Still mess bado ana qualify kwa balon for,I'm Liverpool fan but mess is mile away kumzidi salah- had I hapo barca ilipofika ni sababu ya messi
Young , makosa ya degea, na ujinga wa rashford, rashford,martial na lukaku.United sijui tulitolewaje na pimbi hawa
Huyo messi kaisaidia vp barca ingawa kacheza