Hakuna Timu ya kuifunga Simba SC, Kituo kinachofuata ni Iringa, Kila timu ishinde mechi zake!

Mo ni shabiki kindaki ndaki wa Simba sio Kama manji ambaye ametokea kusikojulikana....ila mpira lazima ukulipe uwezi ukaweka hela sehemu isiyo na maslahi Na MO alishasema namimi naunga mkono hoja yake "alisema African Lyon,singida sio brand kubwa" Ila Simba ni brand kubwa sahivi kila mtu anajua kwamba MO yupo Simba kipindi kile anazamini A.Lyon au Singida tulikua hatujui kabisa Kwan hazungumzwi ,ila MO kuwa na Simba tuu angalia jina la MO midomoni kwa watu lilivyokua kubwa na Brand yake inazidi kuwa kubwa...sikufichi MO na Simba Hadi Sasa Kuna WIN WIN situation,kwani tokea Lile vugu vugu la mabadiliko "Timu tumpe MO"na kuandikwa magazetini ule mvutano Hadi anashinda na kuwa mzamini MO umemsaidia kuzidi kuwa maarufu kwa namna Moja au Nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mo anadai amezaliwa na kukulia singida.. amekuwa mbunge wa singida miaka kibao.. unataka kusema asiwe na mapenzi na kwao singida utd aliyokulia.. mo na manji wanatumia simba ya yanga kupata public sympath tu
 
Wacha Kulialia wewe!

Tokea mwaka 1935 timu (Yanga then Simba) zilipoanzishwa zikiwa Zinaongozwa/Zinamilikiwa/Zinajengwa na Wananchi Kabla ya Mo na Manji Kuwa viongozi zimefanya nini cha maana?

Au Ziliwahi Kubeba Kombe la Klabu bingwa Afrika?

Sio lazima ishabikie tunachoshabikia!

Ukiona Mo anazingua basi achana na Kufatilia Timu hizi na Fatilia Michezo mengine isiyowashirikisha Simba na Yanga.

"DEWJI GUNTO"
 
mo anadai amezaliwa na kukulia singida.. amekuwa mbunge wa singida miaka kibao.. unataka kusema asiwe na mapenzi na kwao singida utd aliyokulia.. mo na manji wanatumia simba ya yanga kupata public sympath tu
Yani kuzaliwa singida,kuwa mbunge wa Singida ndio ikupe ulazima wakuwa mpenzi wa Singida United?Naona unabishia uzoefu bila hoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie mkuu, huu mchezo wao wa mihamara wanaoufanya, nadhani Takukuru wanawavutia timing ili waingie wenyewe mtegoni. Alafu ndiyo watajuwa timu lao linacheza mpira au linasaidiwa kucheza nje ya uwanja. Sisi yetu macho.
TAKUKURU FANYENI KAZI YENU BARABABARA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nae. Mbongo anataka Manji na Mo wajitolee tu pesa bila wao kufaidika. Serious mtu anakwambia Manji na Mo wanazivuruga Simba na Yanga na Sio Akilimali na Kilomoni. Kumuelewa Mbongo utajipa kazi.
 
Waambie mkuu, huu mchezo wao wa mihamara wanaoufanya, nadhani Takukuru wanawavutia timing ili waingie wenyewe mtegoni. Alafu ndiyo watajuwa timu lao linacheza mpira au linasaidiwa kucheza nje ya uwanja. Sisi yetu macho.

Nyie Ndala Akili Zenu Zipo Matakoni!

Hao Takukuru Wakiikuta na Hatia Simba unadhani na Yanga atasalimika?

Tumetoa 10mil Kuwapa Nyinyi Ombaomba ili tuwafunge na Mukatuachia tikawafunga.

Sasa sisi tuliyetoa Hela na Nyinyi Muliyepokea Hela sote tutaingia Makosani.
 
Limekupata hilo, tulia liingie barabara. Daima ukweli unauma sana naona unavyotapatapa mkuu, pole sana ila habari ndiyo hiyoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…