Umesahau siku za nyuma Kagere alifanya nini?Kagere ana cha kujifunza sana kwa mechi ya leo
Umesahau siku za nyuma Kagere alifanya nini?
Atakuwa anaoiga sana nyetoNafikiri kwenye historia Kagere ni bora ila kwa wakati huu tulionao Mugalu ni bora zaidi ya Kagere. Mugalu nafikiri anapitia kipindi kigumu cha kukosa kujiamini na hii inatokana na kukosa magoli ya wazi kabisa mara nyingi...
Unaweza kutupa statistics za mechi alizocheza meddie na mugalu vpl?? Pia dakika walizocheza Kwa ujumla???Mimi bado naimani na MK 14 kuliko Mugalu,Mechi moja sio kipimo cha kuona ubora mama madhaifu ya mchezaji,goli moja alilokosa MK14 Mugalu kakosa mengi kama hayo kwenye mechi tena mechi muhimu.
MK14 kakaa sana benchi kwenye mechi nyingi kuliko Mugalu,na mchezaji akikaa sana benchi hakika kiwango chake kinashuka.
MK14 apewe mechi tatu tu anarudi kwenye form hat trick zitamwagika kama zamani.