Hakuna uchawi wa chuma ulete, ni visingizio vya watu wazembe

Uchawi upo au nguvu za giza zipo!!!hata kwenye vitabu vya dini unatajwa.

Ila vina limitation, kuna nguvu iliyo na nguvu zaidi ya nguvu za kichawi.

uchawi una matokeo ya papo kwa hapo na madhara yaliyojificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…