Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Watu wanafanya propaganda za kutisha watu tu ili wauze dawa ambazo hazitibu ugonjwa zaidi ya kumfanya mtumiaji kuwa tegemezi wa dawa hizo.Mwanapropaganda......teh teh
Yataje hayo magonjwa halafu uambiwe dawa yake.magonjwa yasiyo kuwa na tiba yapo mengi...wew upo dunia gani.....
Ukimwi sio ugonjwa.Ukimwi unatiba¿
Mkuu mi nahangaika na spinal cord injury. Unaposema kila ugonjwa unatibika wakati mi case yangu madaktar hwasemi kinachofany siponi mpk Leo nimeparalyze. Sielew kbs ebu niambie solution ya hyo kituYataje hayo magonjwa halafu uambiwe dawa yake.
Nipigie at 0688-441 144 nione nitakusaidiaje.
Dawa hiyo hapo.Mkuu mi nahangaika na spinal cord injury. Unaposema kila ugonjwa unatibika wakati mi case yangu madaktar hwasemi kinachofany siponi mpk Leo nimeparalyze. Sielew kbs ebu niambie solution ya hyo kitu
Rejea heading.cancer ina tiba?
Nini tiba ya facial nerve ndugu
Kati ya magonjwa ambayo ukienda hospitali ukaambiwa kuwa hakuna dawa ya kukutibu ni pamoja na kugonga au kuumiza facial nerva