Hakuna ujana tena, hakuna kusubiri

Hongera umenipa chakula cha akili asante sana japo sijaelewa vizuri kwenye suala la kulipa uovu kwa uovu sidhani kama ni somo jema maana maandiko ya Mungu yanatufunza kulipa wema tulipotendewa ubaya.
 
Unapolipa ubaya kwa kufanyiwa ubaya sio njia sahihi yakumaliza ubaya zaidi sana ubaya utazidi na kuishi.kwa visasi mpaka mwisho

Hiyo ndio kanuni, ubaya humalizwa Kwa ubaya, ubaya ukimalizwa Kwa wema hayaishi hata siku moja.

Ubaya unaendelea kuwepo Kwa sababu ya uwepo wa msamaha ambao kimsingi sio haki.

Hata Mungu humaliza ubaya Kwa ubaya, ukifanya ubaya atakulipa mabaya.

Usipotoshwe Mkuu
 
Do! jumatatu kusoma vitu virefu kazi na ukizingatia mnara haujasoma kiasi kwamba lunch imepita kazi kwelikweli
 

You is spittin som fuckin realiest shit ever dude

That was crazy

You hit us with some real facts

Thank you for this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…