Hakuna ujanja kama kutembea na Muhudum wa kaunta

Hakuna ujanja kama kutembea na Muhudum wa kaunta

Hutapigwa ban mkuu sana sana modes wenyewe nao wataishia kucheka tu
Ni maarufu humu tena kapotea hichi kipindi cha uchaguzi alipoona mambo yameenda mlama kala kona.. hivyo kaamua kufanya vitu vyengine kaachana na mambo ya bongo sahivi ndo anadili na mambo hayo sasa..😂
 
Back
Top Bottom