Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Naona upo siti ya mbele hapo.hahahahaha
Yaan hapo naweza kwenda na pesa ya bia 2 lakini nikanywa bia kret nzima....raha sanaaaaa kwakweliWacha weeeh. Kweli huo ujanja
Bata kabisa weyeNaona upo siti ya mbele hapo.hahahahaha
huyu jamaa kaamua kutumia hii burudani kufanya mazoezi ya mwili
Hayo si mazoezi ni kutafuta changamoto..huyu jamaa kaamua kutumia hii burudani kufanya mazoezi ya mwili
Jukwaa la siasa
Hilo zungu limevurugwa kweli!
Ni mmoja kati ya memba humu!Hilo zungu limevurugwa kweli!
π€£π€£π€£π€£π€£,aaaah wapi,au ni mzungu kichaa?Ni mmoja kati ya memba humu!
Simsemi nikaja pigwa ban Mimi..ππ€£π€£π€£π€£π€£,aaaah wapi,au ni mzungu kichaa?
Hutapigwa ban mkuu sana sana modes wenyewe nao wataishia kucheka tuSimsemi nikaja pigwa ban Mimi..π
Ni maarufu humu tena kapotea hichi kipindi cha uchaguzi alipoona mambo yameenda mlama kala kona.. hivyo kaamua kufanya vitu vyengine kaachana na mambo ya bongo sahivi ndo anadili na mambo hayo sasa..πHutapigwa ban mkuu sana sana modes wenyewe nao wataishia kucheka tu