Hakuna umeme toka Asubuhi

Hakuna umeme toka Asubuhi

Toka asubuhi ni majenereta tu Bunju. Sijui ni nini kimetokea TANESCO hawajatoa taarifa
 
TANESCO ni bure kabisa. Miezi michache iliyopita, walikuwa wanasingizia uhaba wa maji. Sijui kwa sasa wanasingizia nini.
 
TANESCO Kwani huwa mnaangalia nini au kuconsider nini? Kukata umeme, tena siku nzima ya jumapili?

Hii kero kubwa sana kwa sisi watanzania. Kweli tuwashe magenerator siku kama ya leo Jumapili.

This is not fair.
Broh wapi huko? Isijekuwa upo Congo.
 
Kuna marekebisho mkuu si unajua miundombinu tena ! Bado tupo kwenye evolution Adha itaisha ila pole pole chief
 
Toka asubuhi ni majenereta tu Bunju. Sijui ni nini kimetokea TANESCO hawajatoa taarifa
Wacha mpate kelele kidogo jenereta sababu mmeuza bandari na kukodisha mwendokasi huku mnacheka,Kazi kwenu.
 
Tumeambiwa umeme upo wa kutosha, vipi sasa? Nawaonya Tanesco msithubutu kuuza umeme nje! Hawatavumilia kama sisi, ni mahakamani tu!
 
Back
Top Bottom