Kuna usemi kwamba "hakuna umoja wa wenye njaa". Usemi huu unamaanisha kwamba mtu mwenye chakula akipita karibu na watu ambao wako pamoja lkn wana njaa watasambaratika kwa kasi ya kimbunga.
CHADEMA ni umoja wa watu wa wenye njaa, maana hakuna nafasi za uteuzi/vyeo.
Wakati ambapo CCM kuna nafasi za veyo lukuki kuanzia DAS, RAS, RC, DC, DED, DEO, ubalozi, n.k. Huu ni umoja wa watu wenye shibe.
Kwa mantiki hii tutegemee wanachadema wengi kuhamia CCM.
Mbowe m/kiti taifa wa cdm, ana ukwasi wa kutosha (ameshiba) ndani na nje ya nchi, ndiyo maana hatikiswi na ccm (wenye shibe).
Mrithi wa Mbowe anapaswa awe ni mtu asiye na njaa ya pesa ama vyeo. Namuona Sumaye aliyewahi kuwa Waziri mkuu kwa miaka 10 kuwa ndiye mtu sahihi kumrithi Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti taifa. Sumaye hawezi kutamanishwa na cheo cha RC, DC, DAS, RAS, DED, DEO, ubalozi, n.k. Na hata ukwasi anao wa kutosha.
Huu ni ushauri tu, na ni juu yenu CHADEMA kuuchukua ama kuumwaga. Ili kufifisha hizi propaganda za usultani wa Mbowe kwenye nafasi ya mwenyekiti ni vema aachie ngazi.