JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Katika uongozi wowote ambao una utawala bora ndani yake ni lazima kuwepo na mambo yafuatayo;
Utawala unaozingatia sheria
Viongozi kuwa wawajibikaji kwa wanaowaongoza.
Viongozi kuwa wakweli na wazi katika uongozi.
Vyombo vya habari vinapewa uhuru pasipo kuviwekea vikwazo katika shughuli zao.
Kuzingatia haki za binadamu na kuzilinda kwa kiasi kikubwa.
Upvote
0