J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Jan 14, 2021 #1 Katika uongozi wowote ambao una utawala bora ndani yake ni lazima kuwepo na mambo yafuatayo; Utawala unaozingatia sheria Viongozi kuwa wawajibikaji kwa wanaowaongoza. Viongozi kuwa wakweli na wazi katika uongozi. Vyombo vya habari vinapewa uhuru pasipo kuviwekea vikwazo katika shughuli zao. Kuzingatia haki za binadamu na kuzilinda kwa kiasi kikubwa. Upvote 0
Katika uongozi wowote ambao una utawala bora ndani yake ni lazima kuwepo na mambo yafuatayo; Utawala unaozingatia sheria Viongozi kuwa wawajibikaji kwa wanaowaongoza. Viongozi kuwa wakweli na wazi katika uongozi. Vyombo vya habari vinapewa uhuru pasipo kuviwekea vikwazo katika shughuli zao. Kuzingatia haki za binadamu na kuzilinda kwa kiasi kikubwa.