Habari wanajamvi. Hili wazo nimekuwa najiuliza kama Kuna uwezekano wa kutumia satelaiti ( low orbit satellites) ambazo zinaweza kutupa images za kubaini matukio ya uhalifu kutoka angani na kuwabaini wahusika ili kuondokana na haya mambo ya "watu wasiojulikana".
Kama tukio limetokea Magali basi tunaipa satelaiti coordinates za eneo then inatupa images na videos za eneo husika Kwa muda ambazo tukio lilitokea.
Jambo hili haliwezekani?
Kama tukio limetokea Magali basi tunaipa satelaiti coordinates za eneo then inatupa images na videos za eneo husika Kwa muda ambazo tukio lilitokea.
Jambo hili haliwezekani?