Hakuna uzi unaohusu ujio wa ndege ya ATCL?

Waziri Kamwere alitupiga marufuku kuitangaza ndege hio ikiwa inakuja,so haikuongelewa humu.
Basi tuanzishe uzi wa kumpongeza JPM kwa kutufufulia shirika letu la ndege ambalo litasaidia kuongeza pato la Taifa
 
Mpk upate ruhusa ya waziri kamwere,la sivyo utapata tabu sana ndg.
Basi tuanzishe uzi wa kumpongeza JPM kwa kutufufulia shirika letu la ndege ambalo litasaidia kuongeza pato la Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…