Hakuna uzito wa mashairi kama yangu uliotokea katika taifa hili – Afande Sele

Uyu jamaa ukisikiliza mziki wake ..utakutana na vina vya kucheba anii..darubini kali kuna ile yuko na huyu jamaa saivi wa moyo sukuma damu. Oldsskul mm sichoki sikiliza.
 
Sasa mtoto aliyezaliwa 1997 naye anasema hajawahi kumuelewa Afande. Watoto wa JF bwana mna matatizo. Na mtu kujisifu na kujikweza ni katika mila na desturi za hip hop. Hapa nimemjibu mchangiaji aliyemdisi kwamba kwa yeye kujiita mfalme wa rhymes na Prof J asemeje.
 
Hadi watoto wadogo wa 90s nao wanamdisi Afande?? Hahahaha ama kweli maajabu yapo JF.
 
Heshimu mawazo ya watu. Hizo bangi ulimlisha? Afande ni baba wa familiya. Mpe heshima yake
Kwa hiyo nawewe unakubali kwamba hakuna anaemfikia kwa mashairi kisa katoa mawazo yake tuyaheshimu? By the way alivyovua nguo jukwaani alikua hana watoto? Tusilee ujinga, kukataa kwamba havuti bangi utakua unalako jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…