Hakuna video kali mpaka kesho kama ya Harmonize

Hakuna video kali mpaka kesho kama ya Harmonize

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Nadiriki kusema mwaka huu na mwaka kesho na kuendelea hakuna video itayokuja kuwa Kali zaidi ya hii ya Harmonize mpaka kesho.

Director hanscana ni muuaji mnoo yaani kitu kipo kama movie quality ni HD.
Story nzuri.

Huwezi amini location ni Manyara ,Babati

Japo audio sio nzuri ila hiki kichupa ni moto kwa kweli..

Big up Harmonize, roll up Hanscana.
 
Sijajua wewe jamaa Ni utopolo kiasi hichi una undugu Nini na Harmonize?video tu ya Alikiba ya Dodo Ni best kuliko hiyo alafu ulivyo wa ajabu eti hakutatokea video Kali Kama hiyo?Kama ndio mpambe wake basi umezidisha
 
Nadiriki kusema mwaka huu na mwaka kesho na kuendelea hakuna video itayokuja kuwa Kali zaidi ya hii ya Harmonize mpaka kesho.

Director hanscana ni muuaji mnoo yaani kitu kipo kama movie quality ni HD.
Story nzuri.

Huwezi amini location ni Manyara ,Babati

Japo audio sio nzuri ila hiki kichupa ni moto kwa kweli..

Big up Harmonize, roll up Hanscana.

Kutoka twitter kwa Chapo255
 
Back
Top Bottom