Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Lakini ni uoni wako mkuuYa kawaida saaana!
Kwa hapa hapa bongo kama ipiZipo..
Yani pamoja na mapambio yote ya mtoa mada 😆😆😆😆wewe hapa umemaliza kukomentYa kawaida saaana!
Nimekomenti tu na sijawahi iona haha... Yope yenyewe nimeicheki majuzi tu.Yani pamoja na mapambio yote ya mtoa mada 😆😆😆😆wewe hapa umemaliza kukoment
Acha ujinga chapo ndo nani..?Umecop kwa Chapo twitterumeamua ulete utolo huku!
Wewe bado KOLO kwenye mambo ya entertainment.Acha ujinga chapo ndo nani..?
Kwahiyo yeye chapo peke yake ndo kaiona video ? Kwamba yeye ndo anastahili kutoa maoni ??
OK powaWewe bado KOLO kwenye mambo ya entertainment.
Haya powaSijajua wewe jamaa Ni utopolo kiasi hichi una undugu Nini na Harmonize?video tu ya Alikiba ya Dodo Ni best kuliko hiyo alafu ulivyo wa ajabu eti hakutatokea video Kali Kama hiyo?Kama ndio mpambe wake basi umezidisha
Nadiriki kusema mwaka huu na mwaka kesho na kuendelea hakuna video itayokuja kuwa Kali zaidi ya hii ya Harmonize mpaka kesho.
Director hanscana ni muuaji mnoo yaani kitu kipo kama movie quality ni HD.
Story nzuri.
Huwezi amini location ni Manyara ,Babati
Japo audio sio nzuri ila hiki kichupa ni moto kwa kweli..
Big up Harmonize, roll up Hanscana.
Ushahidi?Kutoka twitter kwa Chapo255
OK powa the mnyama mkaliHaka kajamaa niliwai kukaambia kaache ku-copy copy hona kanavyoshushuliwa, mpaka kanashindwa kutetea hoja