Hakuna video kali mpaka kesho kama ya Harmonize

Dogo anaanza kuwa vzr,
Ile corabo ya come into my room/kwenye chorus,amepatendea haki sana,kama mamntoni mwanangu
 
Kwendaaàa kwahiyo tuseme mbaya hata kama nzuri
Kwa mtazamo wangu, video Ni nzuri Ila siyo kwamba Ni Kali kuzidi video zote zilizowahi kutokea yaan hii hata nikiiweka na mdogo mdogo ya diamond Naona bado haijaifikia.ni maoni yangu lakin[emoji855]
 
Yeah ni maoni yako
Ile ya diamond alilipa million 70 tofaut na hii ya harmonize kwa hanscana
Wakati diamond alishoot kwa godfather..

Viwango vinatofautiana godfather na director mkubwa lakini haiondoi kuwa video ya harmonize ni moja ya video kali
 
Ahsante kwa kurekebisha kauli[emoji95][emoji95]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…