Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Unaweza kukuta mhadhiri ni form six.Wewe hujui tu, nadhani wakatoliki ndio wenye chuo vikuu vya hovyo. Nina ushahidi nimewahi kufanya kazi kwenye Moja ya chuo kikuu cha kikatoliki Nina miaka miwili tangu nimeondoka. Aiseeh! Wana roho mbaya wale watu.
Mjinga sana wewe.Kanisa KKKT lina vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, hili kanisa limejengwa ktk msingi wa ubinafsi uliopitiliza. Walianza na Tumaini University iliyokuwa Iringa, sasa hivi wameiita Iringa University, huwezi kuta neno Tumaini kwasababu askofu wa Iringa anaona km taasisi yake na ya wahehe.
Tumaini University sasa iko Makumira-Arusha. Tofauti kubwa ya vyuo vikuu vinavyomilikiwa na RC na hivi vya KKKT ni kwamba vyuo vikuu vya kanisa katoliki vinaongozwa na wasomi na utambukusho wao uko wazi, kuna Ruaha Catholic University(RUCU)- Uringa, Mwenge Catholic University(MWECAU)-Moshi kutaja baadhi.
Vyuo vya KKKT VC lazima awe mchungaji elimu yake ni Profesa wa aidha wa Agano Jipya, Kale. Ila RC ni wasomi wa fani mbalimbali zaidi ya Theology.
Sijui ni kwa namna gani wanaruhusu huu upuuzi.
Kwamba Wana michango nje ya Ile wanayotangaza kwenye joining Instructions?nimepita pale RUCU zamani RUCO. hao wakatoliki unawasifia ni hawafai. na wanatanguliza hela mbele balaah. pale ilikuwa ukilipa ada au ukiwa na uhakika wa kulipa ada na michango yao mingi isiyo na maelezo basi unamaliza kabla hata ya wakati. nilisoma mwaka mmoja nikaachana nao na sikurudi tena. mwalimu ana degree anafundisha wanafunzi wa degree. si ujinga huo?
Jamaa una maneno🤣🤣🤣Profesa wa aidha wa Agano Jipya, Kale.
Jaribu kuficha ujinga wako mara moja moja..Wewe hujui tu, nadhani wakatoliki ndio wenye chuo vikuu vya hovyo. Nina ushahidi nimewahi kufanya kazi kwenye Moja ya chuo kikuu cha kikatoliki Nina miaka miwili tangu nimeondoka. Aiseeh! Wana roho mbaya wale watu.
Kama msabato kweli utateseka....Ushaulizia vyuo vya Catholic vipoje??? Kama ukiendelea kuangalia kisa kinamilikiwa na dini gani usisome,mm nimesoma kwa wakatoliki pia Kuna changamoto zake