Hakuna wa kumzidi Lunya kwa sasa

Anapiga kelele huyo hata mimi namkalisha vizuri kabisa
 
Kwa rosa lee naunga mkono hoja. Sijawahi kuelewa wanaomsifia wanaona nini kwake. Hao madada wawili uliowataja naona ni wakali zaidi yake.
Au wanapagawa na ahaa na kutoa ulimi nje.
 
Unamjua kontawa lakini?..
 
We jamaa unajua sema fid ashaachwa saiz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu vina ukishampa sikio lako utakubali, kwangu Dizasta ndo my favourite hip hop artist of the all time mpaka sasa hv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ndo kitu ambacho wadau wengi wa hip hop hawataki kukubaliana, ukipiga ngum utaishia kusifia tu na waun ambao hata hawaji-subscribe you tube channel yako, hawatofanya upate show, nyimbo haipigwi kwenye media mwisho wa siku huna maisha

Labda mtu kama kama Dizasta Vina aliyeamua kubaki "Underground" na anaamini mkate wake ataupatia uko uko na hiyo haisumbui, anakuambia hata mainstream ikimuaitaji imfate "underground" itamkuta na mwamba anaaongea hayo karelax kinoma

Kwahy hivo ngum haiuzi ndo maana as we speak lunya ndo best rapper ila kwangu hata kwenye top 20 ya my favourites rapper humkuti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeanza kufatilia mziki raisi magufuli
Upo sahihi ukisema hivyo
Nimemsikiliza

Sugu
Ngwair
Prof
Langa
Fiq Q
Nikki wote wawili
Roma
Stamina
Killer na lunya
Mwamba wa kasikazin
Songa na wenzak wote wa kikosi kazi
Young Dee na janja
Nash Mc
Almost Kila msanii wa hip hop

Baadaee nikaja kumskilizi DIZASTA VINA, flow yake na lyrics zake ni nzuri na za kipekee sana nimesema ye ni my favourite rapper to date sijasema na namba moja au otherwise

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu unamkosea heshima Fid Q kumchanganya hapo

Labda sijaelewa unamaanisha nini “hii generation”
Fid Q wa kitambo sana
 
Sidhani kama upo serious, au umependa zile kelele zake.
 
Mijadala kama hii ni mizuri kwa afya ya mziki wa hip hop ila Lunya mzuri ila si kwa level kama hiyo unayo izungumzia ww.
 
Lunya ni mkali japo sio namba 1. Akipata verse 1 anauaga vizuri hasa akishirikishwa kwenye vinyimbo vya hawa ma-SLAY BOY ngoma kama PELEKA MOTO

Na mnaomtaja nikki mbishi acheni utani basi jamaa alikuja na style ambayo ilipendwa ila saov keshachokwa na mtaa...anaimba goz-gozi mistari haina sense tena
 
Kaka soft rap ni kitu gani au genre gani ya music?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…