Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Jambazi sugu lisilopigika DEONTAY WILDER au ukipenda muite BRONZE BOMBER au BOOOOMB SQUAD nicknames ambazo amepewa na mashabiki kutokana ma uzito wa makonde yake yasiyo zuilika .
Wengi sana wamekuwa wakimkwepa kwepa DEONTAY WILDER kwa kuhofia kuharibu rekodi zao akiwemo ANTHONY JOSHUA (A.J)
Lakini kuna haka kajamaa ka Tyson Furry kamejichanganya kukubali kuzipiga na Deontay ,mamaaae atafurahi na roho yake.
Wilder mpige ngumi kumi ila yeye akikupiga moja tu lazima ukae ,kwa lugha nyepesi tunasema Wilder ana One Punch Knockout Power ya nzito zaidi kuliko bondia yeyote yule kwa zama hizi.
Hakuna wa kumzuia Deontay Wilder, acha tumalizane na Furry kisha tumsambaratishe huyo mnigeria AJ.
BOOoooooooooooooooomb Squaaaaaaaaaad [emoji378][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378]