October 2pm
Senior Member
- May 2, 2023
- 106
- 282
KWA KWELI 😁😁😁Mpo poa!
Nasema hivi hamnibandui ng'oo Kwa huyu mtoto.
Sijawahi kukutana na Mwanamke mwenye mapenzi matamu kama huyu.
Endeleeni kupiga kelele Watoto wa elfu mbiri.
I'm out
tunasubiria uzi wa 'wanawake ni mashetani' 😂hatujawahi kuacha kumfariji mtu, chochote kikitokea tuko hapa kwajili yako😊🤗
tuko hapa👊tunasubiria uzi wa 'wanawake ni mashetani' 😂
NAONA UMELETA UZI WA KUWAFARIJI WATU.Mpo poa!
Nasema hivi hamnibandui ng'oo Kwa huyu mtoto.
Sijawahi kukutana na Mwanamke mwenye mapenzi matamu kama huyu.
Endeleeni kupiga kelele Watoto wa elfu mbiri.
I'm out
Kwani nani kasema umwache?