Hakuna watu wa kuogopa kama wale walioanza kuwaza kuwa Makamu wa Rais, naamini leo walikuwepo Ikulu wanapiga makofi ila moyoni acha tu

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Mhe. Philip Mpango waliotumia mitandao vibaya wasamehe kwani wao waliamini kwenye kile walichosikia. Lakini pia yawezekana kabisa waliotumia mitandao ya kijamii vibaya wamefanya kazi ya Mungu kushinda ila za shetani.

Nitakupa mfano ambao unaweza usiuelewe sana ila una umuhimu; MO alipotekwa na viumbe wakatili alisaidiwa na watumiaji walioitwa wabaya wa mitandao. Lakini sauti ilipozidi kuwa kubwa alirejeshwa na kukabidhiwa kwa familia. Hili mwangwi uwe mkubwa walipaza sauti kwamba ameuwawa na walitaja hata waliohusika ila baadaye alipata kurejeshewa uhai wake.

Watu baadhi waliotekwa miaka kadhaa nyuma walipatikana baada ya kelele za mitandao kuwa kubwa na may be hata viongozi wakubwa wa sasa walishiriki kwa kutumia ID fake kusambaza taarifa zakuwanusuru watu hao.

Yawezekana hata sasa walivujisha hizi taarifa na kuzokuza siyo hao waliposti bali walio karibu na wewe na wanaokutakia mema. Wapo watu ambao upo nao kama marafiki lakini wakiwa nafsi zao zinawaza kuwa Makamu wa Rais. Hawa ni wengi kuliko wanaposti mishumaa......sometimes wanaweza wakawa wanyenyekevu sana kudhani wanakutakia mema. Mtegemee Mungu huku ukiamini hata walioposti mishumaa wametumwa na Mungu kukukinga na mabaya.

Mungu anaishi kwa mwanadamu......tunapomtafakari tusijikite zaidi kuyatafakari matendo ya wanadamu

Nikutakie Afya njema huku nikikuomba ufahamu kwamba utumishi wa watu na haki uzaa kinga ya Kimungu.
 
In

Inquisitive minds lazima wahoji! and have to be appreciated!
 
Back
Top Bottom