Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha umenikumbusha mbali sanaWalikuwa wananata sana kama vile wazazi wao wanamiliki dunia. Bila shaka mtakuwa ni wajumbe wa bodi ya michezo ya kubahatisha au wakurugenzi wa Kampuni za kubeti. View attachment 1089037
Tulikuwa tunakusanyika kumzunguka kucheki game dah! Jamaa class alikuwa anasema kimeisha betri tumpe shingi 100 akanunue betri matokeo yake anaitumia kunywa chai chapati wakati wa break ndipo anakuazimeni...tulikuwa tunachanga Tzs 20 20 watu watano tunampa kisha tunacheza zamu kwa zamu...sasa akiamua mmefika mtu wa tatu anapokonya anasema mliobaki mtacheza kesho shubaamit!makapuku mnabaki kudolea macho tu jinsi jamaa ana avyocheza...
Waliokuwa navyo wengi walikuwa watoto wa bwana shamba,mwenyekiti wa kijiji au kule mjini mtoto wa afisa anaefanya kazi bomani (halmashauri etc)demu wangu wa zamani popote ulipo nadhani anakumbukumbu mzuri tu kibra yake ilitoka kwa ajili ya kidude hiko eti
Ndio ikoje hiyo mjumbe