Hakuna watu walikuwa na majivuno kama waliomiliki hiki kifaa

makapuku mnabaki kudolea macho tu jinsi jamaa ana avyocheza...
Tulikuwa tunakusanyika kumzunguka kucheki game dah! Jamaa class alikuwa anasema kimeisha betri tumpe shingi 100 akanunue betri matokeo yake anaitumia kunywa chai chapati wakati wa break ndipo anakuazimeni...tulikuwa tunachanga Tzs 20 20 watu watano tunampa kisha tunacheza zamu kwa zamu...sasa akiamua mmefika mtu wa tatu anapokonya anasema mliobaki mtacheza kesho shubaamit!
 
demu wangu wa zamani popote ulipo nadhani anakumbukumbu mzuri tu kibra yake ilitoka kwa ajili ya kidude hiko eti
 
demu wangu wa zamani popote ulipo nadhani anakumbukumbu mzuri tu kibra yake ilitoka kwa ajili ya kidude hiko eti
Waliokuwa navyo wengi walikuwa watoto wa bwana shamba,mwenyekiti wa kijiji au kule mjini mtoto wa afisa anaefanya kazi bomani (halmashauri etc)
 
Niliwapangisha mstar sana kwa tsh 10@game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…