Niliiba hako kadude.Ilivyokuwa popoma ukamfuata?
Nakumbuka kwa kipindi kile me nlkuwa nanunua 1500Kuna jamaa nikimpa 1900 yangu akaninunulie ,akatokomea nayo ,nilipata huzuni sana hiyo hela nilijichanga kama miezi sita hivi,,
hili games nlkuwa naenda kununua kwa shillng 15000 kipindi hicho mwenge hapo kweli maisha yanasogea
teh..tet...teh...kazi kweli kweli sasa ushakuwa mkubwa tukupe nini ukatuitie dada yako (natania tu mkuu) pole sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna jamaa aliniambia nikamuite dada yangu kisa hako kadude.
Utoto ni upuuzi sana.
Hahaa sio shule ya msingi Msasani Tukuyu kweli ? nakumbuka sie darasani S/Msingi Masebe alikuwa nako jamaa aliitwa Mark Kihula baba yake alikuwa meneja kwenye mashamba ya chai ya Chivanjee huko Msekela...basi ilikuwa full full minatoHa ha kuna jamaa yangu alidakwa kwao, akasingizia hilo game ni langu, mama ake alikuwa mwalimu wetu Ikabidi aje kuniuliza, nikajibu ndio langu nilimuazima... Ikabidi nipewe na mimi ukawa wakati wangu wa usultani!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna jamaa aliniambia nikamuite dada yangu kisa hako kadude.
Utoto ni upuuzi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha kuna jamaa yangu alidakwa kwao, akasingizia hilo game ni langu, mama ake alikuwa mwalimu wetu Ikabidi aje kuniuliza, nikajibu ndio langu nilimuazima... Ikabidi nipewe na mimi ukawa wakati wangu wa usultani!?
hili games nlkuwa naenda kununua kwa shillng 15000 kipindi hicho mwenge hapo kweli maisha yanasogea