Enzi za kuchomana na bikari
Kwel kabisa mana ukiwa mwanafunzi enz izo hata upige kaz mwaka huez fikisha buku jero ya kununua. Ukiwa mjanja utamilik saa tu inayowaka taa kwa 500Mtafute airudishe kwa rate ya leo hiyo ni kama buku 15 au 20 kabisa
Pesa nyingi sana hiyo kipindiKuna jamaa nikimpa 1900 yangu akaninunulie ,akatokomea nayo ,nilipata huzuni sana hiyo hela nilijichanga kama miezi sita hivi,,
Umenikumbusha mbali sana, mwenye nacho anakuwa mbabe hata kama hana nguvu,ukimgusa tu huchezi,hata akikutukana unaogopa kurudsha usijenyimwa kuchezaHa ha kuna jamaa yangu alidakwa kwao, akasingizia hilo game ni langu, mama ake alikuwa mwalimu wetu Ikabidi aje kuniuliza, nikajibu ndio langu nilimuazima... Ikabidi nipewe na mimi ukawa wakati wangu wa usultani!?
ni mkweli mkuu tena unapata na catridge zake kams sijakosea ya tom and jerry pamoja na supermario15k mbona nyingi sana mkuu. Kwa kipindi hiko
Kwel kabisa mana ukiwa mwanafunzi enz izo hata upige kaz mwaka huez fikisha buku jero ya kununua. Ukiwa mjanja utamilik saa tu inayowaka taa kwa 500
Shida gani?Nilipata shida Mimi jamaniiii.... Daaah
Ase bado cjafikia hizi fani. Nikifikia ntasema. Ila kwa sasa tuvungeWaliokuwa wezi wa peni na vitu vingine class ikiwemo hii nk wengi wao waliishia kuwa mafisadi papa na majambawazi hope hukufika kwenye fani hizi
Nilinyanyaswa mnoooShida gani?
Muongo huyo, yalianza kuuzwa 2500, ila hiyo buku mbili jero kuipata mwanakwetu, unaipatia wapi!?15k mbona nyingi sana mkuu. Kwa kipindi hiko