Hakuna watu wanajiona ni mafighter kama hawa wa Networking Marketing

Hakuna watu wanajiona ni mafighter kama hawa wa Networking Marketing

Cvez

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
4,405
Reaction score
13,411
Hawa jamaa wa forever, Qnet, Global Alliance na jamii hizo hasa hasa wale newbie. Financial education wao ndio wameimaster, kuona wengine hawajielewi ndio wao, health experts pia wao, top class wajasiriamali ndio wao kumbe masikini ya Mungu wao ni sales people wa kampuni husika..
 
Halafu wanajiitaga eti ni managers!
Kampuni ikifilisika wanabaki na zile tai wanazonunuliwaga wakati wanapitisha bidhaa mitaani
 
Kwanza hakuna watu wenye akili finyu na maisha magumu kama hawa.
Nawajua wengi tangu miaka hiyo mpaka leo bado wanaunga unga maisha sijui wanajazwa ujinga gani huko!
 
Back
Top Bottom