Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Kuna group moja la whatspp niliungwa nikiwa kama mgeni nikasalimia nikaona kimya, nikasamilia Mara ya pili kimya hakuna anaejibu nikatulia kama nusu saa nione kinachoendelea kimya hakuna aliyenijibu,
Haikupita nusu saa kuna mshikaji akasalimia basi akajibiwa faster akachangamkiwa, akaja mwingine akachangamkiwa dah inabidi na Mimi nisalimie kimya hakuna wakunijibu akaja mwingine kaanzisha mada ikachangiwa kinoma baada ya nusu saa nikanzisha mada hakuna aliyechangiaa.......
Kilichofata hapo nikaanza kutuma video na picha za ponooo mfululizooo basi weee kila mtu akaanza kuniwakia Mimi navunja sheria za group basi nikaaa kimya haukupita muda nikamtukana admn na members wake wote waache uchechedu kuchat kwa kujuana hakupita muda nikapewa remove hahahaaaa.....
Group za whatspp banaaaa watu wanajiona wamefanikiwa hahaaa