Hakuna watu wanajiona wamefanikiwa kama wale

Hakuna watu wanajiona wamefanikiwa kama wale

Wadada waliosoma wenye degree, wanavaa mawani na wameajiriwa then ukute anamiliki ka-spacio au ka-vitz.......

Kuna mtu anasema Hawa wanaringa utadhani motoni watachomwa na oven.......
We endelea kuwaza habari za moto, wenzio wanakula bata halfu mwisho wa siku wote mnapigwa kibiriti, unadhan wewe ni mwema sana yaani hauna dhambi? (kama zipo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada waliosoma wenye degree, wanavaa mawani na wameajiriwa then ukute anamiliki ka-spacio au ka-vitz.......

Kuna mtu anasema Hawa wanaringa utadhani motoni watachomwa na oven.......
Wamekutosa wengi nini mkuu wa aina hii....
 
Wale walio na couple humu jf. Kutwa kuanxishiana nyuzi za kubebishana. Si mkabebishane whatsapp huko, wanaringishia mapenzi kama ndo wanabalehe. Na mtaachana tu. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom