Hakuna watu wavivu kama wanyanyua vyuma

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Usiwaone wana kifua kipana wamejazia full minyama.

Hawa jama nje na kunyanyua vyuma ni wavivu vibaya mno.

Mkute gym ananyanyua vyuma hadi kg200-300kg ๐Ÿ‹๏ธโ€โ™€๏ธ lakini huyohuyo mpeleke kazi za shamba ataishia kula chakula chako chote bila kukifanyia kazi yoyote.

Na hii imepelekea wengi wao kukazwa kisawa sawa maana hakuna kazi wanaweza zaidi ya vyuma... wanapinda mgongo vizuri tu na kukata uno usiwaone hivyo.

Sipo hapa kuwakejeri niko hapa kusema ukweli mchungu kuna kakikundi mahali fulani wao hutoa huduma ya u bodyguard kwa watu ...

Unaambiwa kalibia wote wanasugua magoti sakafuni huku wakipumliwa kisogoni. Ieleweke kuwa Dunia haina siri.

Kuna mwamba alikuwa offsider wangu aisee ilibidi nimkatae maana si kwa uvivu huo jamaa analala usipoangalia unaweza kumuua kwa kumkanyaga na machine.

Mvivu vibaya mno..Kila nikimwambia foreman kuhusu huyu jamaa anasema wewe huyu mwamba na likifua lake hamna kitu?

Baada ya kubadilishiwa kazi Kila mahali alikuwa anakataliwa na siyo huyo tu.

Upande wa ngumi wanapigika na kukalishwa chapu mno!!

 


Utakuta mtoa mada ndo huyo amemtongoza baunsa amkaze baunsa kakataa ndo maana dogo akaja kumwaga povu humu.

Basi nenda kaseme hadi kina ramos, cristiano ronaldo, jeff bezos, harmonize, na wanyanyua vyuma wote ni wavivu kama wewe mkvndu juu, rojorojo
 
Ukweli mchungu bro mnakazwa sana sio kidogo.

Hao uliwataja ni wasanii na wacheza mpira mean wana vipato vyao vya uhakika lkn hawa tulio nao mtaani mnapinda mgongo kiwepesi sana
 
Ukweli mchungu bro mnakazwa sana sio kidogo.

Hao uliwataja ni wasanii na wacheza mpira mean wana vipato vyao vya uhakika lkn hawa tulio nao mtaani mnapinda mgongo kiwepesi sana
Halafu utafiti unasema wanaoanzishaga story za ushoga ndio mashoga wenyewe 'in closet'

Mkuu, kama umeamua na wewe kvtombwa kama dada zako basi usihalalishe kila mtu awe hivo. Endelea kukatikia mashine za wahindi na waarabu, mabaunsa hawana muda na kinyeo chako usichojua hata kukichamba
 
Sawa mkuu.
 
Watunisha misuli wengi hawafanyi sana mazoezi ya cardio, wanatunisha zaidi vifua na mikono kuliko miguu, na hawana zile sugu za kazi ngumu.

Wao wana nguvu tu, vigezo vingine hawana.

Hiyo haimaanishi kwamba wote ni wavivu au mashoga, umejumuisha tu.
 
Mleta mada acha story za kishoga, utashtukiwa sasa hivi tu.

Au wewe ndiye bodybuilder kubwa jinga ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ